Advertisement

Papaya Family

Album cover art for "Papaya Family" by H_art the Band

H_art the Band - Pop

Papaya Family

0 Plays

View Artist

September 25, 2019.

Lyrics

[Intro] Order! Court is in session In the matter of the people Versus the Papaya Family Mr. Prosecutor please,Proceed! [Verse 1] Mr.Papaya, uko pabaya Whatdo you expect when you jumpout of the frying pan straight into the fire You're the definition of a hyena, a cheetah dressed in sheep's attire Na kila uendapo kazi yako ni kusteal kukill na kudevour Maji ulikatia kwenye metre, ona vile hatupigi shower Unamezea bibi ya wenyewe mate, huoni hata haya Mr. Papaya cheats, Mr. Papaya lies Mr. Papaya eat your food and leave your plate dry Mr. Papaya sleeps and he never ever try Mr. Papaya please haya mambo hayafai [Chorus] Mr. Papaya, uko pabaya Mr. Papaya, uko pabaya LaLa LaLa LaLa La Laaaa LaLa LaLa LaLa La Laaaa LaLa LaLa LaLa La Laaaa LaLa LaLa LaLa La Laaaa [Verse 2] Na wewe Mrs. Papaya, pia wewe uko pabaya Sikio Lako la kufa tumelitibu lakini halisikii dawa Mucene ndio kipawa You're spreading rumors like a wild fire (Like a wild fire) Kukopakopa huku na kule na hutaki lipa umezoea vibaya (Umezoea vibaya) You have the audacity to testify in church na ulimi wako ni silaha (Laa Laa Laa) Biblia mkononi nia mbaya imo rohoni unanyemelea vijana What goes comes around yo, Mrs. Papaya hio inaitwa karma Wachana na vijana Mrs. Papaya napenda gombanisha watu kwa plot Mrs. Papaya hapendi flash akitoka kwa choo Mrs. Papaya sleeps and she never ever tries Mrs. Papaya please haya mambo hayafai [Chorus] Mrs. Papaya, uko pabaya Mrs. Papaya, uko pabaya Mr. Papaya na Mrs. Papaya nyote mko pabaya In fact Toto Papaya Nyote pamoja nyote mko pabaya That is the PAPAYA FAMILY

Rate this song

Rate this song

0/5.0 - 0 Ratings

5
0.0% (0)
4
0.0% (0)
3
0.0% (0)
2
0.0% (0)
1
0.0% (0)

Loading comments...

Credits

Writers
  • H_art the Band